nachukia sana hii nchi kutokana na yanayoendelea....wanasiasa na viongozi wanajilimbikizia mali huku vijana tunahangaika bila ajira..wanasiasa na viongozi wanaajiri ndugu zao na vimada vyao ngoja 2015 WATAKIMBIA HIZO MALI KWANI TANZANIA YA SASA SIO WAOGA KAMA ZAMAMI