MImi ni muhitimu wa (EastAfrica Utalii College) nina Diploma in Hotel management na mzoefu katika kazi hii kupitia sehemu mbalimbali na makampuni mbalimbali ya kitalii hapa nchini kwa sasa nipo mwanza. natafuta sehemu ya hotel yoyote yakufanya kazi.
We nn kujisumbua inamaana mpaka sasa huzijui hotel ziko wap.kama unazijua si uende kaagize soda kunywa umesimama name kutembeatembea tayar utakuwa unafanya supervision au siyo Kuwait mjanja kaz ni kwako.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.