NALO LITAPITA
JF-Expert Member
- Aug 25, 2011
- 333
- 90
Habari za majukumu wakuu? Samahani, Nina rafiki yangu amebahatika kuitwa katika usahili wa PCCB, Katika vitu vilivyoorodheshwa kwenda navyo siku ya usahili ni ramani inayoonesha eneolako la makazi yahani "Sketch map showing your location of living". Anaomba msaada mwenye uelewa na hii je ramani hiyo anapaswa kuichora yeye? au anaenda kuichukua katika vyombo au taasisi zilizo na ramani ya eneo husika mfano manispaa/halmashauri?. Je hii ramani inayotakiwa kwenda nayo ni ya kijiji/mtaa anaokaa au ni ya kata au ni ya mji mzima?. Tafadhali mwenye uelewa na hii asaidie.