Posho City
JF-Expert Member
- Mar 15, 2012
- 648
- 418
naombeni ushauri.
Mimi ni kati ya waliopata kazi juzi toka tume ya ajira kwa ajli ya moja ya mashirika ya umma.
Ile kazi wakati wa tangazo la kazi walitoa condition ya cheti ni mtu mwenye diploma in education,kwa kuwa mimi nina diploma na bachelor niliomba kwa kutumia diploma.
Jana nimechukua barua toja tume ya ajira na kule kwenye shirika wamepga simu kwamba niende na cv yangu.
Swali je?cv nioneshe pia na bachelor na nkifka cheti niwaoneshe ai nifanyeje? ingawa cv ya kuomba kazi sikuonesha km nina bachelor pia kwenye oral interview swali la kwanza lilikuwa academic and profesion background pia hapo sikusema juu ya bachelor.
je nkiwaonesha siku ya kuripoti wanaweza futa post yangu au?