Twishen! Twishen! Twishen!

Twishen! Twishen! Twishen!

Ranyau

Member
Joined
Jul 12, 2013
Posts
79
Reaction score
6
Kwa yeyote ayehitaji twishen kwaajili ya mwanae ! Nipo tayari kwa kufundisha, masomo ya sanaa' mim ni mwalimu mzoefu na mwenye shahada ya uwalimu. Nauwezo na uzoefu wa kufundisha wanafunz level zote za secondari! Hata majumbani naweza kuja au waje kituo chetu. Kwa mwenye uhitaji karibu napatikana masaa yote Dsm mwananyamala.
 
Ajira zenu hazijatoka bado..endeleeni kusubil waziri kasema ni trhe 1 october
 
Back
Top Bottom