ukiwa suspended waweza andika barua ya kurisign?

Muk

JF-Expert Member
Sep 4, 2012
547
70
habari wana jf.
Mim nimekuwasuspended from work for unknown period kutokana na matatizo hapo job toka wiki iliyopita je naweza kurisign?
 
Kwanza kbs naomba nikuulize swali...ulipewa notice kabla ya kuwa terminated?

Hajawa "terminated" bado. Amekuwa "suspended"

Nadhani ni vigumu kumshauri kabla ya kutufahamisha mazingira ya "suspension", nature ya ajira yake na mambo mengine ya msingi.

Ngoja Wataalamu waje!
 
Jibu hayo maswali ili usaidiwe. Sasa unaanzisha uzi mwenyewe then unakimbiza m.i.n.e.g.e yako.
 
Unaweza unawapa taarifa ya kuacha kazi ndani ya saa 24. Unafuata taratibu nyingine kama kurudisha vifaa au kitambulisho cha mwajiri na kulipa mshahara wako wa mwezi mmoja
 
Back
Top Bottom