Habari wadau, kuna dogo langu alifanya Interview kazi za TRA pale UDSM mwaka jana mwezi wa kumi wakambiwa watapigiwa simu ila hadi sasa kimya kuna mtu mwenye taarifa na hizi kazi aisee???
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.