Ndetimakete
JF-Expert Member
- May 19, 2013
- 402
- 308
Mawasiliano 0713836878 kwa taarifa zaidi
hivyo tu? na wewe kama ni mwalimu unadhalilisha taaluma!!
-anatakiwa awe na sifa gani?
-kufundisha darasa la ngapi?
-kazi iko wapi?
-mkataba ukoje?
-malipo?
-benefits zingine?
Ndio maana akatoa namba kwa aliye tayari wasiliane naye kwa TAARIFA ZAIDI, sasa kakosea nini hapo?
hivyo tu? na wewe kama ni mwalimu unadhalilisha taaluma!!
-anatakiwa awe na sifa gani?
-kufundisha darasa la ngapi?
-kazi iko wapi?
-mkataba ukoje?
-malipo?
-benefits zingine?
Mkuu si kila mtu anapenda kufanya private communications hovyo...
yeye alipaswa aweke kila kitu ili mtu apime upepo mwenyewe kuweka tu SIMU inaweza kuwa ni utapeli
Wenye shida wameshampigia kitaambo, you just relax pastor.
Ha ha ha
Mkuu wangu Baba V
mi nimetoa ushauri tu kwamba unapotoa tangazo jaribu kutoa full details hebu fikiria watu 200 wakupigie kuuliza hivi itakuwaje hapo?
Tujifunze stadi za mawasiliano mwalimu
Hata kama ningekuwa mimi na sida ya hiyo hiyo ajira nisingesumbuka kumpigia simu, je kama ni nyonya damu.Watanzania lazima muelewe hatua za uandishi wa tangazo.Hapo kaandka pumba mtupu.
Vijana mnapenda urahisi. Chukua hatua mpigie. Yani katangaza fursa, ni jukumu lako kuchukua hatua hili upate taarifa.
Hahahaa, WALIMU WA SIKU HIZI KAMA NDIYO MAONO YENU HAYA BASI HATUNA WALIMU ASEE, kama hata kujieleza kidogo tu ni utata vipi kusimama darasani!!?
kwahyo wew na kujua kwako koooote unafikir ameshindwa kuandika sifa anazozitaka? Usigeneralize vitu fanya analysis usitukane watu wako walimu wanao uwezo mkubwa kiakili kuliko wew kaka lakin anatoka kwenye walimu haohao wa siku hizi. Alafu mwenzenu kaweka vile ana malengo yake si bure.