Msaada: Taarifa Kuhusu Nafasi za Kazi

Msaada: Taarifa Kuhusu Nafasi za Kazi

Bata batani

JF-Expert Member
Joined
Nov 11, 2011
Posts
3,257
Reaction score
3,905
Jamani wadau hebu tusaidiane katika swala hili la kuomba ajira na mnapopata taarifa za nafasi za kazi, kutoka maeneo gani na nini na wapi

1. kuna watu humu ndani huwa wanakuja na post, wakiulizia walioitwa kwenye nafasi za usaili wa kazi.

2. wengine wakija wanauliza rank za mishaharaaa, ni kipiiii

3. wengine wanakuja wakiulizia vipi taasisi flani wameshaita majina ya kwenye interview.

Jamani hebu tusaidiane ni wapi na wapi.

Sources zipi huwa mnapata taaarifa hiziii tusaidiane jamani.



 
Haya na wewe njoo kesho kweye interview hapa maeneo ya Kariakoo sokoni.
 
Jamani wadau hebu tusaidiane katika swala hili la kuomba ajira na mnapopata taarifa za nafasi za kazi, kutoka maeneo gani na nini na wapi

1. kuna watu humu ndani huwa wanakuja na post, wakiulizia walioitwa kwenye nafasi za usaili wa kazi.

2. wengine wakija wanauliza rank za mishaharaaa, ni kipiiii

3. wengine wanakuja wakiulizia vipi taasisi flani wameshaita majina ya kwenye interview.



Jamani hebu tusaidiane ni wapi na wapi.

Sources zipi huwa mnapata taaarifa hiziii tusaidiane jamani.

Mitandaoni,magazeti,ndugu na jamaa waliopo sectani
mitandao tembeleaajirazetu, zoomtanzania na mingine bila kusahau tovuti ya serikali
magazeti ni Dailynews,The guardian,na mwananchi au The citizen
 
Back
Top Bottom