Kwa yeyote anaetafuta tingo au kondakita please nifahamisheni ni mimi yule yule polax kwakuwa mmeshindwa hata kunipa kazi yeyote basi nipeni hata izo hapo call me anytime u want 0685816103 wote ni watanzania

mkuu una experience / ushafanya hii kazi ? Sababu wale vijana sometimes wanavyoshuka haraka na kuweka kigingi na kukiondoa (ukizingatia ubovu wa magari yetu) inahitaji mtu mwepesi sana..., usije ukatufia mkuu kwa kupata ajali au ukachelewa kuweka kigingi gari likasimamia mtaroni
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.