Nahitaji msichana wa kazi za nyumbani. Awe mtanashati na mwaminifu, nitakuwa tayari kumuanzishia mradi wake kama duka/ushoni atakao kuwa anafanya baada ya kumaliza kazi za ndani. Maeneo ya Temeke ndipo makazi yangu yapo
Kazi zako Ni masaa mangapi kwa siku? Natafuta part time job nianze kujiongeza
Hebu ni-PM.