Ni juzi tu Jeshi la polisi walitangaza nafasi za kazi kwa wananchi wenye sifa lakini Cha kushangaza ni kuwa mfumo wa kuwasilisha maombi una changamoto kila ukijaribu kujaza taarifa zako...
Wakubwa,tulifanya written interview two or three weeks zilizopita na hawa gaming board.sijaona majibu ya usahili kwenye website yao mpaka sasa,kuna taasisi kama psrs mnafanya usahili watu wengi...
Hizi ni skills ambazo tusipokuwa makini zinachukuliwa zinachukuliwa na AI. Miaka 5 - 10 ijayo hakuna mtu atatatoa pesa yake kukulipa.
Kwa kutumia AI Agency, usipojiongeza mapema utapunguziwa...
Hello wana JF,
Naomba msaada wa ideas za maswali ya written kwa nafasi ya Customs Officer kwa TRA.
Kwa aliewahi kufanya je utumishi wanauliza nini, na je ni current issues gani za kupitia hasa...
Wanazengo habari zenu
Kama kichwa kinavyojieleza..dogo wa miaka 21 anaesoma chuo kwa sasa mwaka wa pili degree kapata mchongo wa kwenda kwenye kazi za watu za kijeshi..na kazi yenyewe kapata...
Habari zenu wakubwa zangu,
Nanyenyekea sana nikiamini JF uwa hakuna tatizo linalokosa msaada.
Wakubwa nahitaji msaada wenu ni kwamba kuna company flani kubwa tu staki kuitaja ila department...
Wanajamvi.. nawasalimia sana. Katika kukabiliana na hali ngumu ya upatikanaji wa wafanyakazi hasa kada isiyo na qualifications maalum, au kwa wafanyakazi kupata kazi katikabsekta isiyo rasmi...
Salamu wana jukwaa wenzangu.
Nauliza maswali gani huulizwa kwenye nafasi ya accounts officer ii taasisi ya Tanzania aviation authority. Tusaidieni, wengine ndio mara ya kwanza kuitwa interview...
Kulikuwa na Haja Gani TRA Kuajiri/Kutumia Consultant Kama Haiwezi Ku-Handle Zoezi La Ajira Yenyewe. Inamaana Huyo Consultant wao ni Mtenda Haki kwa Watanzania Maskini Kuliko Utumishi….!
Pitia...
Syrup Room and Water Treatment Team Leader Job at Coca-Cola Kwanza - Career Opportunity in Tanzania
Overview
Job Category: Administrative Job Type: Full-Time Deadline of this Job: 18 January...
Habari wana Jamvi
Huyu ndugu yangu aliomba mafasi ya kazi WESTERN GOVERN UNIVERSITY
anasema nafasi zilikuwa Arusha .
Lkn cha kushangaza alitumiwa mail atume vyetu,kitambulisho
Na video short...
Leo, Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), Yussuf Mwenda, ametangaza kuwa waombaji 135,027 wamejitokeza kuomba nafasi za kazi 1,596 zilizotangazwa na mamlaka hiyo.
Nafasi hizi za...
Fikiria wewe ni Rais wa jamhuri ya Muungano wa Tanzania (United Republic of Tanzania 🇹🇿 ) au mshauri wa karibu sana na Mh Rais sasa na unataka kumaliza au walau kupunguza tatizo la Ajira kwa...
Naomba kuuliza eti inafaa kubadili kada ikiwa umeshaajiriwa mfano kutoka elimu kwenda afya yan umeajiriwa kama mwalimu badae ukaamua kwenda kusomea udaktar inafaa
Natafuta kumwajili mtu mwenye cheti cha ADDO..
Medication back ground..
Anisaidie kuuza dawa..
Zinga Bagamoyo..
Unasifa izo na unahitaji wasiliana nami
0679102559 au 0755102559