Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

wadau nimepangiwa wilaya ya chunya mkoa wa mbeya kwa wanaopahamu mazingira yakoje jamani........
0 Reactions
15 Replies
3K Views
Habari waungwana. Samahani kwa mwenye kujua take home salary au range ya mshahara ya nmb kwa graduate anisaidie. Natanguliza shukrani!
0 Reactions
6 Replies
3K Views
Hivi jamani wale walioitwa kwenye interview ya PCCB nawakashinda wameisha anza kazi? Mwenye updates please
0 Reactions
7 Replies
5K Views
Kuna mtu mwenye bachelor degree in regional development planning na daraja la upper second. Yuko tayari kwa kazi yoyote halali, ni mfanisi na mwenye kujituma. Kwa yeyote mwenye msaada aniPM...
1 Reactions
3 Replies
2K Views
I need an Editor/ Graphics with below details. 1. Experience on working with Adobe Premier pro. 2. Experience in editing especially news. 3. Working with different video output formats. 4. Working...
0 Reactions
1 Replies
875 Views
Habari wadau, Kuna nafasi EWURA walitangaza mnamo tarehe 22 NOV mwaka jana, sasa imekuwa ni kitambo kidogo kimepita, kama kuna mdau anataarifa ya zile nafasi kama washaajiri au mchakato...
0 Reactions
20 Replies
7K Views
Jamani wale CAMUSAT vipi? hawajaita tu for second interview/ contract???? mbona siku zinasonga?? tujuzane mwenye taarifa tafadhali.
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Habari zenu wakuu wa jukwaa na vidagaa vyake? Jana nimetumiwa msg kuhusu ajira direct under her recommendation. Dada mmoja anajiita Joslyn na ubin hapo juu kwamba anafanya kazi katika shirika...
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Habari wana jamvi.... Mwenye tarfa yoyote kuhusu kuanza kuita watu kwenye usaili wa hawa NMB Bank kanda ya mashariki tujuzane tafadhali...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Biznocrats Consulting Enterprise has a vacancy for a person with the following attributes At least Diploma in Marketing Knowledge of word processing, excel and internet Experience of at least...
1 Reactions
0 Replies
1K Views
Jamani wadau nahitaji msaada wenu. Mimi ni mhitimu wa chuo kikuu course ya Tax management. Nahitaji kazi ya aina yoyote hata ya usafi wa maofisini nitafanya mana maisha ya mtaani jamani...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA OFISI YA WAZIRI MKUU, TAWALA ZA MIKOA NA SERIKALI ZA MITAA WALIMU WA AJIRA MPYA 2014 WALIOKUBALIWA KUBADILISHIWA VITUO Ofisi ya Waziri Mkuu Tawala za Mikoa...
0 Reactions
5 Replies
9K Views
DAIRY FARM MANAGER Qualifications: Master’s of Science (Livestock Production) or its equivalent Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat, Box 63100 ,Dar es Salaam Details: PUBLIC...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Habari jf, kama kuna mtu yoyote aliyopo mwanza mwenye diploma au degree ya procurement &supply na uzoefu wa 1yr kuna nafac ya kazi, ani pm nimpe maelekezo, urgent
0 Reactions
6 Replies
2K Views
kuna kazi walizitangaza kama three wk vp any with their information :juggle:
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Mwenye uelewa na hawa jamaa anisaidie
0 Reactions
1 Replies
2K Views
HiCongratulation for your interest to work with us, our team here in Nairobi and Juba have reviewed your job application documents for the position of Assistance Research Officer which you...
2 Reactions
16 Replies
3K Views
Wapendwa naomba anaye fahamu anijulishe. tarehe 2 mwezi wa 9/ 2013 tulifanya interview agakhan post za community outreach supervisor Mradi wa JOIH HANDS INITIATIVE. walikua wanahitajika kwa mikoa...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Jamani kwa aliyewahi kufanya hizo test please naomba anielekeze utaratibu wa hyo link ya kufanya aptitude coz kwenye email yao hawaja ionyesha wamenipa tu maelezo
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Mimi ni kijana niliyehitimu diploma ya afya ya mifugo( DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH) Natafuta kazi kwenye kitengo chochote kile kinachohusiana na taaluma yangu ya mifugo au hata ambayo haihusiani na...
0 Reactions
0 Replies
939 Views
Back
Top Bottom