mtendaji wa kijiji
JF-Expert Member
- Jul 3, 2012
- 533
- 115
Wapendwa naomba anaye fahamu anijulishe. tarehe 2 mwezi wa 9/ 2013 tulifanya interview agakhan post za community outreach supervisor Mradi wa JOIH HANDS INITIATIVE. walikua wanahitajika kwa mikoa ya mwanza, dodoma, morogoro na iringa. kwa ambaye aliatend ile interview au ambaye ana taarifa za hawa watu naomba msaada kufahamu kwamba wameitwa kuanza kazi????????