Mtaalamu wa Mifugo

Mtaalamu wa Mifugo

PETEROPTIMIST

Member
Joined
Nov 16, 2013
Posts
80
Reaction score
17
Mimi ni kijana niliyehitimu diploma ya afya ya mifugo( DIPLOMA IN ANIMAL HEALTH) Natafuta kazi kwenye kitengo chochote kile kinachohusiana na taaluma yangu ya mifugo au hata ambayo haihusiani na taaluma yangu pia nipo dar es salaam lakini nipo tayari kufanya kazi mahali popote pale tanzania. nahaidi kufanya kazi kwa uaminifu, kwa nguvu zangu zote na kwa ufanisi wa hali ya juu, na pia ni leseni ya udereva ya magari madogo namaanisha class D.
kwa atakayekua ananihitaji napatikana kwa no 0653732909.
asanteni
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom