Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

RECEPTIONIST II Qualifications: Ordinary Secondary Education Certificate (CSEE) with passes in English and Swahili languages Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat, Box 63100 ,Dar...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
ASSISTANT LECTURER Qualifications: Master’s Degree of Arts (M.A) in Linguistics who is eligible for registration as technical teacher Apply: Secretary,Public Service Recruitment Secretariat, Box...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Ukihitaji Dereve nipo tuwasiliane ila wa magari ya abiria. Nipo Mwanza namba hii kwa mawasiliano 0785544661.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Mimi nina Bachelor of Education in Psychology (BEDPSY) nataka nisome Masters Business Management (MBM). Je ninaweza kupambana kwenye soko la ajira? Naomba mnishauri vizuri wadau.
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Ni dada mwenye umri wa miaka 24 anatafuta sehemu ya kujitolea au tempo huku akiendelea kutafuta kazi maswala ya Procurement au store pia yuko tayari kwa ajira yoyote halali ni muhitimu wa mwaka...
0 Reactions
67 Replies
10K Views
Nafasi za jeshi la police zinatoka mwezi wa ngapi? Jamani tufahamishane waungwana.
0 Reactions
2 Replies
3K Views
Jamani mimi ni binti natafuta kazi yoyote hile hata sehemu ya kujitolea nina Degree ya Business Administration! Mwenye kunisaidia ni PM. Asanteni Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
0 Reactions
24 Replies
3K Views
habari zenu wauungwana naomba kujua nafasi za jeshi la police zinatoka mwezi wa ngapi kwa sisi tunaotokea mtaani
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa wale waliofanya online uptitude test tusaidieni maswali mliokutana nayo, kabla na sisi tulioitwa kwa mara ya pili hatujafungua hiyo online test angalau tujue ndani kuna nini
1 Reactions
1 Replies
2K Views
Wadau wana jamvi wenzangu , mbali na kupigiwa simu kuhusu interview kuwa 1st April Mwanza Secondary wamenitumia sms kuwa interview itakuwa kati ya 5-7days. Pili wamesisitiza kuwa hawatahusika na...
0 Reactions
33 Replies
6K Views
Nikiukumbuka msemo wa "acha kazi,uone kazi.........."najihurumia. Kazi mshahara mduchu, pia sio career yangu. Nimetafuta kazi miaka tangu niajiriwe 2011 nikitoka chuo nikajua najishikiza tu. Kumbe...
6 Reactions
62 Replies
12K Views
Heshima zenu wakuu, naombeni mnisaidie kibarua chochote halali, nimetafuta kazi sujafanikiwa miaka minne sasa, elimu yangu ni ya chuo kikuu fani ya mass communication, ila sichagui ajira siangalii...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
VIJANA WENZANGU. KAMA UNANAFASI YA KUNUNUA BAJAJI. NUNUA AU CHUKUA MKOPO PALE NMB BAJAJI MPYA. IWEKE MLIMANI CITY AU MWENGE, AIR PORT, KKOO, POSTA, AU BUGURUNI. KWA SIKU LAZIMA UTALALA NA TSH...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Habari, naitwa Mr. Raymond from TRANSNET LTD Dar, tupo kikaoni tunapitia CV tuchague candidates wa kuinterview for PUBLIC RELATIONS OFFICER POST, CV yako ni nzuri nataka kukusaidia upate hii kazi...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
NATAFUTA KAZI YOYOTE ILE NIWEZE FANYA,NIMESOMA CHUO MIAKA 2 NIKO MWANZA MY NO;0756692453,E-MAIL mngoniben@gmail.com
0 Reactions
1 Replies
949 Views
Habari wana jf,naombeni kujua mishahara ya hawa community development officers tpdc ni kiasi gani na vipi maswali wanayouliza?
0 Reactions
16 Replies
7K Views
Am Albert Mutalemwa searching for job as Tour Guide and Driver for any Comany if they will have a need of me. Am available in Dar es salaam and my contact is here for more imformation...
0 Reactions
0 Replies
873 Views
Wale waliofanya oral interview kuna aliyeitwa tayari?
0 Reactions
14 Replies
3K Views
Jamani ni miezi mitano sasa tokea BOT watangaze ajira zao post zile 50 mwezi wa kumi mwaka jana, watu wameuliza uliza kupata tetesi mpaka wamechoka, ishu ya BOT imekuwa kimya hapa JF, nadhani...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Back
Top Bottom