Ndugu wapendwa katika dunia tuliyopo hakuna jambo muhimu na lenye manufaa kama kupata taarifa SAHIHI tena unapokua unafatilia jambo flani ambalo ni muhimu.
Hivi karibuni jeshi la kuzuia na kupambana na rushwa, zimamoto na uhamiaji walitoa nafasi lakini hua wanaweka siku ya mwisho ya maombi ila hawaelezi lini watatoa majibu.
USHAURI:
Ni vzuri majeshi yote yawe yanaweka tarehe ya kutoa majina yawatakaochaguliwa na ni GAZETI LIPI majina hayo yatatoka kwahiyo kwakufanya hivyo itawaondolea utata waombaji juu ya taarifa sahihi.
Ahsanteni!