Updates za Diamond Trust Bank

Updates za Diamond Trust Bank

chipa

Member
Joined
Mar 12, 2014
Posts
8
Reaction score
3
DTB walitangaza nafasi za kazi ikiwemo bank officers kwa ajiri ya branch ya kahama...mwenye kujua taarifa naomba anjijuze mana ni kitambo sana
 
Mi hawa jamaa siwaelewagi, huwa wanatangaza nafas lakini sijui huwa wanaita watu lini na wenye sifa gani.
 
Wanatangaza kama ushaidi... Na kukamilisha zile procedures zinazoitajika basi ila baada ya hapo wanawapa kazi watu wao na sio wale walio omba.
 
mimi waliwahi nisumbua GMT afu wakanichinjia bahari mwishoni. wanazingua sana
 
Wanatangaza kama ushaidi... Na kukamilisha zile procedures zinazoitajika basi ila baada ya hapo wanawapa kazi watu wao na sio wale walio omba.

ndo ukweli huu hata mimi naufahamu
 
ukiona kimya ujue hiyo taasisi haina professionalism hasa upande wa HR na PR kwani wanaokoteza tu hawajui THE POWER OF FEEDBACK kama indirect advertising au marketing ya kampuni,always people talk good things about the org that shows respect to its external publics.
 
kalamu ya chuma upo kijana mambo yanaendaje...ni kweli kabisa taasisi zingine hazijitambui kabisa na wati wake.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom