Husika na kichwa hapo juu, house girl anahitajika haraka iwezekanavyo na mahali nipo Ubungo, Dar.
Vigezo na mashari ni kama ifuatavyo:
1. Awe na umri kati ya miaka 14 - 20
2. Awe angalau amefika darasa la saba
3. Mwenye nidhamu na heshima, awe tayari kupokea maelekezo na kutii.
4. Atokee mahali popote Tanzania, ila maeneo karibu na Dar yatapewa kipaumbele.
5. Asiwe mwenye matatizo ya kiafya yatakayo msumbua na kumzuia au kupunguza ufanisi wake wa kazi.
Kama yupo msichana mwenye sifa hizo au unamfahamu msichana mwenye sifa hizo basi tuwasiliane kupitia PM.
Taarifa zingine kama mshahara na taratibu za usafiri tutazijadili baada ya makubaliano huko PM.
Asante.