MAUBIG
JF-Expert Member
- Apr 3, 2012
- 1,040
- 859
Habari za Leo wadau,
Kuna nafasi za kazi zilitangazwa na hawa jamaa mnamo tarehe 10/02/2014 kwa nafasi zifuatazo:
1. Sales Executive
2. Science Editor
3. Graphic Designer
Kama unafahamu kinachoendelea kwenye nafasi tajwa au kama kuna yeyote unamfahamu mwenye uwezo wa kujua kinacho endelea, please mchango wako ni muhimu sana.
Natanguliza shukrani zangu