Ni wale wanaokuja hapa JF wanalalamika wasaidiwe kazi. Nimeshafanya research na zaidi ya ID 10 kua mimi ni KE na natafuta kazi. Watu wote waliojifanya wanataka kunisaidia ambao ni ME walitaka papuchi na wengne wakigundua wewe ni me mwenzao wanapotea.
JARIBUNI KUFIT WENYEWE KILA MTU KTK HII DUNIA LAZIMA AFANIKIWE SEMA NDIO HVYO HARAKA HAIHITAJIKI.
Mwamini MUNGU ipo siku UTAFANIKIWA
JARIBUNI KUFIT WENYEWE KILA MTU KTK HII DUNIA LAZIMA AFANIKIWE SEMA NDIO HVYO HARAKA HAIHITAJIKI.
Mwamini MUNGU ipo siku UTAFANIKIWA