Habari ndugu zangu,
mimi mdogo wenu nasoma Mechanical Engineering nina barua za kuomba mahali pakufanyia field ambapo nitapata POSHO hii ni kutokana na mimi kujilipia ada chuo nashindwa nitume wapi pakupata malipo ili nipate ada ya mwakani, NISAIDIENI MAWAZO NDUGU ZANGU.