Wadau,
Naomba kwa mtu anayeifahamu vizuri JSI anisaidie kunifahamisha kuhusiana na working conditions, Salary na benefits zingine za kazi za Advisors, kama Logistics advisor, Procurement...
Daah wanajamvi kuna jamaa yangu hapa kapata ajira TPA .Kapata sijui kimagumashi nashindwa hata kuelewa!Anyaway vipi hawajatoa tu zile za kugombania sisi tusio na ndugu huko??
Habari wana jamii,natumaini m-wazima wa afya.
NAjitokeza kwenu ili kushare na ninyi na pia kuona ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu kijana. JIna lake ni Frank,kwao walizaliwa watatu na wote...
Wakuu nina degree ya medical laboratory nimespecialize katika parasitology and entomology.Ambaye anafahamu sehemu nitakapo pata kazi siyo serikalini ila pawe na salary ya kuweza kukufanya mtu...
Zone zote NMB zimetoa ajira. Bank officer.
Anuani za nmb bank ktk kanda zake. Eastern zone box 1066 Moro.
Western box 681 Tabora.
Lake zone box 1580 Mwanza.
Nothern zone box 1256 Arusha...
Kuna nafasi imetokea na interview na jumatano wiki ijayo elimu kidato cha nne fani udereva.
Jamani naulizia ni maswali gani yanayoulizwa mara nyingi katka interview za migodini.
TANZANIA BUREAU OF STANDARDS
EMPLOYMENT OPPORTUNITIES
Tanzania Bureau of Standards (TBS) is Tanzania's sole Standards body, formerly established by the Standards Act No. 3 of 1975, which was...
Salaam. TRA wametangaza nafac za kazi kwa wenye masomo ya Economics, law, accountacy, customs, taxation, business administration, finance etc. Deadline ni 20 April. Age limit ni 30 yrs...
Tuliofanya Written interview kule Bima ya Afya sasa hivi matumbo joto tukisubiria kama tutaitwa kwenye Oral interview au la.
Jamani eeeeh wenye kujua hawa jamaa kuwa wanaita lini atujuze basi...
Awe mwaminifu na mchangamfu wa kazi awe anapenda watoto mshahara kuanzia 30,000 nikiona ubora wa kazi nitawezaongeza napatikana Mbezi Beach
Msaada jamani
Mimi niko moshi mjini na niko kwenye mpango wa kufungua bucha la nyama ya ng'ombe; natafuta kijana mchapakazi na mwaminifu kwa ajili ya kazi hiyo mwenye interest au anaemfahamu kijana wa aina hiyo...
MASHARTI YA JUMLA KWA KAZI ZOTE.
i. Waombaji wote wawe ni Raia wa Tanzania.
ii. Waombaji wote waambatishe cheti cha kuzaliwa.
iii. Waombaji ambao tayari ni Watumishi wa Umma na wamejipatia sifa...
Nimepigiwa simu ya interview tanroads kigoma, weighbridge operator kwa sasa nipo musoma. Sifahamu chochote kuhusu malipo ya tanroads upande wa mizani naomba maoni yenu kuhusu hii kazi.
ASSISTANT INTERNAL AUDITOR II – 1 POST
Qualifications and experience
Holders of a Bachelor's Degree or Advanced Diploma in Accountancy or its equivalent from a recognized institution...
EDITOR II – 1 POST
Qualifications and experience
Holders of a Bachelor's Degree in Linguistics, Mass Communication or its equivalent from recognized institutions.
Two (2) years work...
RECORDS MANAGEMENT ASSISTANT I – 1 POST
Qualifications and experience
Possession of Certificate in Records Management from a recognized institution with three (3) years working experience...
Terre des Hommes Netherlands is looking for a Programme Officer to be based in Mtwara, Tanzania with travel to Dar and Mwanza. Terre des Hommes Netherlands supports services for children in need...
Habari zenu wana JF.
Mimi ni kijana ambaye nimehitimu Mafunzo ya Uzalishaji wa Mifugo na Afya ya Mifugo katika ngazi ya astashahada, natafuta kazi yoyote ambayo inaendana na course yangu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.