Wadau,
Naomba kwa mtu anayeifahamu vizuri JSI anisaidie kunifahamisha kuhusiana na working conditions, Salary na benefits zingine za kazi za Advisors, kama Logistics advisor, Procurement advisor na Health management info system advisor.
Asante sana na baraka kwenu kwa msaada wenu.