:nimekataaWadau kuna nafasi za WEIGHBRIDGE OPERATORS zilitangazwa na hao jamaa nika-apply tangu Nov 2013 bt mpaka sasa cjapata updates zozote kutoka kwao. Wana JF naombeni kama kuna mwenye...
Habari wanajf.
Mi ni mwl mwajiriwa wa govt tangu 2008, ni degree holder kwa sasa nafanya masters of arts-education evening prog. Nafundisha geography na g-studies/civics. Nipo dsm, sichagui...
Hi
Our team here in Nairobi and Juba have reviewed your job application documents for the position of Science Teacher which you applied under Scientist International Organization, and we have...
Community Development Officer ll, ndio nafasi ambayo niliomba na kufanya "written interview" siku ya jumapili iliyopita 06 April. tulifanya interview 353 lakini wakachagua 16 kwa ajili ya "oral...
Nimesoma kwenye gazeti la NIPASHE ya tarehe 12 February 2014 chuo kikuu cha dodoma (UDOM) wametangaza nafasi za kazi nyingi zikiwemo zile ambazo zilifanyiwa usahili mwaka jana bila kuajiri...
Wadau, ni matumaini yangu kuwa hamjambo.
Naomba msaada, mnijulishe kuwa salary scale OSHA SCALE - 7.1 ni shilingi ngapi?
Nimeona tangazo la kazi, naona nina vigezo vyote vinavyotakiwa na vya...
Dear Lord i want to thank you for all the many blessings you have bestowed on my life .I have strayed so far away from you and now am praying to come back home .
Renew my spiritual life and...
Wadau interview ya Nmb Eastern Zone nasikia wameita tayari!!!
Mliopata kuitwa tupeni walau kipi kimejiri, ingawa nasikia mmeitwa watu 100 but nafasi ni nne tu!!
Du Kayumba Mimi sijui ntapata...
Habari wana jamii, natumaini wote hamjambo. Na kwa wale walio na shida na matatizo ya hapa na pale, nawapa ple sana......... wana jamii kuna jambo nataka kushare nanyi,ni kwamba kuna kijana mmoja...
Habari za jioni wanajamvi.
Naomba kuuliza mwenye taarifa ya majibu ya oral interview ya pccb, mwanzoni niliambiwa wiki 2 baada ya interview sasa ni mwezi kasoro, tafadhali mwenye update...
Wadau naleta kwenu Uzi
Mwenye kujua ni chance zipi,vigezo na mwisho wa kutuma maombi ni lini!! Maana hawa jamaa nao washaanza ujinga!! Hawatangazi kwenye magazeti!!!!
Wanazitoa kimya kimya...
CONSULTANT: TEAM SPECIALIST, CAPACITY BUILDING (ECONOMIC POLICY, PLANNING, BUDGETING AND AID MANAGEMENT) - ASSESSMENT OF DEVELOPMENT RESULTS, UNITED REPUBLIC OF TANZANIA
Location ...
Dar es Salaam Water and Sewerage Authority (DAWASA) was established under the DAWASA Act No. 20 of 2001 with an overall responsibility of supplying Water and Sewerage Services to Dar es Salaam...
POSITION DESCRIPTION:
Heavy equipment operator (15 posts)
Reporting Line: Shift Supervisor
Location: Buzwagi Gold Mine; Kahama District; Shinyanga Region
Work Schedule: 5 days day shift, 5 days...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.