MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II)
MCHUMI DARAJA LA II (ECONOMIST GRADE II) (NAFASI 23)
Nafasi hizi ni kwa ajili ya Katibu Mkuu Wizara ya Afrika Mashariki, Katibu Mkuu Wizara ya Mambo...
wadau kuna nafasi ya mwalimu wa kiswahili na history katika shule ya sekondari SHIGHATINI iliyopo maeneo ya MWANGA-KILIMANJARO.
sifa za mwombaji
stashahada au shahada ya elimu
kwa maelezo zaidi...
Nataka kuanzisha mradi wa horticulture Kerege, Bagamoyo kutumia greenhouse. Nahitaji Agronomist anayejua kilimo cha mboga kwa greenhouse. Nitampatia hisa asilimia ishirini za mradi.
wakuu, zifuatazo ni jumla ya gharama ya kutuma maombi ya kazi utumishi, kutoa photocopy cv ni 700( copy moja 50), certified certificate ni 3000, kutuma posta ni 1000, nauli kutoka ulipo hadi ofisi...
Natafuta ajira za HRM, HR Assistant, Administrative Assistant na Sales and Marketing katika Mikoa ya ARUSHA, KILIMANJARO, TANGA, MWAANZA na MANYARA...
Kiwango cha Elimu ni Shahada ya kwanza...
mi nikijana nilie itimu kidato cha nne na kusomea ufundi umeme veta wa majumbani natafuta kazi ya ufundi umeme au kampuni yoyote inayo hitaji kijana wa fani hiyo nipo arusha
Nafuta nafasi kazi ya mteknolojia maabara msaidizi ,kwa yoyote atakaye hitaji maelezo zaidi tuwasiliane kupitia namba yangu simu NO:0752369981 E-mail :Victormambali@gmail.com
kiwanja kikubwa kinauzwa hatua 40 za miguu kwamwendo wa kawaida wa kutembea, kutoka barabara kuu(main road). Kipo vikindu Dar es salaam, bei ni Tsh.35 million, kwa maelezo zaidi piga namba hizi...
Kuna jamaa yangu mmoja, alishawahi kuniambia ukiomba kazi sehemu Kama huna mtu, kuipata hiyo kazi ni kwa Neema tu!!
Hii nimeanza kuamini! Mwezi jana Nmb eastern zone walitangaza nafasi za kazi...
Wakuu kuna nafasi za kazi nimeona za Uchumi Supermarket ila wanadai wanapatikana Quality, Mlimani na Mayfair, mwenye idea na hili anijuze wakuu mana nahofia yaweza kuwa changa la macho coz ukipiga...
Wakuu,
Kwa wale waliofanya usaili wa TPDC from day one to-date, hapa kuna updates za waliofanikiwa kupita hatua ya kwanza na kwenda hatua inayofuata, please, check confirm your name hereunder...
Wana jf,
Nina elimu ya form four na class C licence uzoefu wa miaka 4 now!
Kama kuna mtu ataweza kusikia kazi au nafasi ya udereva. Pliz naomba anifahamishe
0783061106
Me nikijana mwenye umri wa miaka 22, natafuta kazi yoyote ili nipate kipato niweze kilipa ada yangu ya chuo nipate cheti na niweze kuendelea na Diploma nimesimama kutokana na kutokuwa na...
Wapendwa, naomba kujuzwa kwa mwenye any updates kwa post walizotangaza (12th February, 2014) hawa jamaa wa TPB walisha ita watu kwa ajili ya interview au tayari people zipo kazini? kwa anaejua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.