Nimeitwa kwenye Interview Mizani

Nimeitwa kwenye Interview Mizani

deezekiels

Member
Joined
Mar 20, 2014
Posts
42
Reaction score
3
Nimepigiwa simu ya interview tanroads kigoma, weighbridge operator kwa sasa nipo musoma. Sifahamu chochote kuhusu malipo ya tanroads upande wa mizani naomba maoni yenu kuhusu hii kazi.
 
Nimepigiwa simu ya interview tanroads kigoma, weighbridge operator kwa sasa nipo musoma. Sifahamu chochote kuhusu malipo ya tanroads upande wa mizani naomba maoni yenu kuhusu hii kazi.

nawapisha wanaojua
 
nenda kwenye interview utapata majibu huko huko
 
Nenda kachukue pesa hizo bro salary yao mia nane take home yao kama mia 650mpaka690 inategemea na makato poa kuna allowance mia 3 kati2 ya mwezi plus other packages za kuzidi mizigo kiufupi inalipa jiandae kwa interview coz competition inakuwa kubwa coz watu weng wanataka hiyo kazi nakutakia interview njema i wish cku nyingine utakuja kutoa ushuuda jf
 
binafsi nilishafanya interview mizani,hawako fair kabisa hao jamaa kama umjui mtu,au ujatoa chochote imekula kwako na hawarefund chochote..
 
Back
Top Bottom