Msaada na Ushauri wako ni Muhimu sana

Msaada na Ushauri wako ni Muhimu sana

Sukula

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2012
Posts
1,198
Reaction score
453
Habari wana jamii,natumaini m-wazima wa afya.
NAjitokeza kwenu ili kushare na ninyi na pia kuona ni kwa namna gani tunaweza kumsaidia huyu kijana. JIna lake ni Frank,kwao walizaliwa watatu na wote wa kiume lkn mnamo miaka ya 2000s wazazi wake wote walifariki hivyo jukumu la kulea familia na wadogo zake likawa juu yake.
Alijitahidi kulea familia na kujisomesha hadi form 6 ambapo alimaliza na kupata daraja la 3 pts 14 lkn hakuweza kuchukua vyeti kwsbb ya madeni anayodaiwa shuleni,alisoma NSumba.

natumia simu jamani mtanisamehe kwa thread 2. Baada ya kuwa amemaliza NSumba hakuweza kuendelea na masomo kutokana na uchumi kuwa duni,kwa jinsi nilivyoongea nae,yy anapenda apate dipl ya ualimu au kazi yoyote halali . kwa upande wangu nataman sn kumsaidia lkn uwezo wa kubeba gharama zote sina ndio maana nikalileta hapa. kwasasa yy yupo shinyanga na mm nipo musoma,tuliwah kuishi mtaa mmoja hivyo alijitahd kutafuta mawasiliano yangu akiamini naweza kumsaidia chochote. mawasiliano yake 0767060716
 
tatizo natumia simu ila nimeshamalizia sehem ya pili.
 
Kaka kwel kuna watu tuna roho ya kusaidia lkn kwa uz kama huu mmmh itakuwa ngumu hata kama unatumia cm ya toch jarbu kuwa muwaz japo kidogo
 
nashukru sn,simu nayotumia si touch ni kinokia ambacho kinachukua maneno machache sn,ngoja nijitahd kupata kompyuta ambapo nitaeleza kwa kina hali ilivyo.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom