Natafuta Kijana wa kuuza bucha Moshi Mjini

Natafuta Kijana wa kuuza bucha Moshi Mjini

Dr. Wansegamila

JF-Expert Member
Joined
Feb 3, 2012
Posts
3,038
Reaction score
8,398
Mimi niko moshi mjini na niko kwenye mpango wa kufungua bucha la nyama ya ng'ombe; natafuta kijana mchapakazi na mwaminifu kwa ajili ya kazi hiyo mwenye interest au anaemfahamu kijana wa aina hiyo aliye moshi mjini tuwasiliane PM,please kwa maelewano zaidi
 
wadau, nipo kwenye mchakato wa kufungua bucha la kuuza nyama ya ng'ombe maeneo ya kcmc, moshi. Natafuta kijana mchapakazi na mwaminifu tuelewane kwa ajili ya kuendesha business hiyo. Please PM me kama wewe unafaa au unamfahamu kijana atakaenifaa. Natanguliza shukrani
 
Muuza nyama kweli atapatikana JF? Tuwe realistic jamani. Labda wana JF wakutafutie.
 
Muuza nyama kweli atapatikana JF? Tuwe realistic jamani. Labda wana JF wakutafutie.
kwa nini asipatikane mkuu? sema tuu kwa sababu nipo moshi ila ingekuwa.ni dar mbona mdau alikuwa ameshapatikana?
 
Tusidharauliane mkuu tafadhali sana!
kweli kabisa naona mdau analeta dharau, yaani muuza nyama hawezi kuingia jf au? kwamba hajui kusoma/kuandika au hana uwezo wa kumiliki gadget itakayomwezesha kuingia jf? hayo ni mawazo potofu sana.
 
Mie nipo dar vipi mkuu nitumie nauli nije kufanya biashara ya kuuza iyo bucha maana natafuta kazi kweli kweli pm yangu iyo hapo 0685816103
 
Mimi niko moshi mjini na niko kwenye mpango wa kufungua bucha la nyama ya ng'ombe; natafuta kijana mchapakazi na mwaminifu kwa ajili ya kazi hiyo mwenye interest au anaemfahamu kijana wa aina hiyo aliye moshi mjini tuwasiliane PM,please kwa maelewano zaidi

mkuu tafadhali sana msaidie mkuu wetu Polax.. amehangaika kwa muda mrefu sana kaka, toka mwanzoni mwa mwaka huu yuko bongo with no direction of earning a living... kaweka namba ya simu, 0685816103

tafadhali mkuu, msaidie unemployed mwenzetu huyu...
 
Last edited by a moderator:
Mie nipo dar vipi mkuu nitumie nauli nije kufanya biashara ya kuuza iyo bucha maana natafuta kazi kweli kweli pm yangu iyo hapo 0685816103

dogo wahi PM bana, mtumie huo ujumbe muongee vizuri..
 
Back
Top Bottom