Uhamiaji Updates

Uhamiaji Updates

jepro

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
90
Reaction score
6
Jamani kuna habari zilienea huku pamoja na ratiba kutolewa na mmoja wa member hapa kwamba shortlist inatoka leo 18/4/2014 vipi wakuu kuna ukweli wowote hapa????
 
Sio ratiba ni swali ambalo nimeuliza cauz kuna member alitutaarifu hivi mwezi ulopita Dijovisonjn
 
Last edited by a moderator:
Sure kk ngoja tuvute subra ukawa
 
Last edited by a moderator:
pasaka njema wakuu... hawa wahamiaji watatusababishia presha bure, tuwangoje tu waseme wenyewe hatma ya wasaka ajira...
 
Back
Top Bottom