Natafuta mfanyakazi wa ndani (KE)

Natafuta mfanyakazi wa ndani (KE)

Mom Fay

JF-Expert Member
Joined
Feb 21, 2014
Posts
1,059
Reaction score
316
Habari,.nahitaji dada wa ndani wa kazi,mchapakazi na mwaminifu,kazi sio nyingi na za kawaida,hakuna mtoto mdogo wa kumuangalia,kuna vijana watatu tu wakiume na wote ni wakubwa!.umri kuanzia miaka 18+ na kuendelea... atokee hapahapa dar,akitokea tabata itakuwa vizuri zaidi kwani nahitaji wa kushinda tu na kufanya kazi jioni anarudi kwao na kuja asubuhi,!.kuhusu mshahara ni makubaliano yetu kulingana na kazi zitakazokuwepo.na kama ikitokea wa kulala basi tutazungumza vizuri..!.asanteni.
 
Huyu atakufaa??
 

Attachments

  • 1397825544014.jpg
    1397825544014.jpg
    34.3 KB · Views: 160

Similar Discussions

Back
Top Bottom