Kweli "Trameri Tanzania" hii ndio system yenu?

Kweli "Trameri Tanzania" hii ndio system yenu?

BURUDIKA

Member
Joined
Dec 30, 2013
Posts
91
Reaction score
8
Kwenu tena wana JF, leo asubuhi nimepokea ujumbe kwenye e-mail yangu kuwa nimechaguliwa kuanza TRAINNING ktk kampuni tajwa hapo juu ila natakiwa kutuma pesa elfu 50 za kitanzania.
Naombeni mwenye kujua hili anifafanulie kwasababu mataperi ni wengi wanaotulaghai wahanga wa ajira.
 
Hakuna kampuni ambayo unatakiwa utoe pesa kwa ajili ya training,training inakuwa cost za kampuni so hizo ni dalili za utapeli
 
mm pia nmeipata email hyo lkn ctoi bora niendelee kukaa mtaani
 
Back
Top Bottom