Field kwa ABB TZ Ltd

Field kwa ABB TZ Ltd

Hajto

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2013
Posts
5,652
Reaction score
5,635
Guys salama jamani,kesho Ijumaa kuna best yangu anapeleka barua ya kuomba field pale Abb tz ltd,je napo vp wanachukuaga watu wa field
 
Huyo jamaa ako ye hajui kuandika mpaka wewe ndo uje umwandikie matatzo yake huku jf?
 
Huyo jamaa ako ye hajui kuandika mpaka wewe ndo uje umwandikie matatzo yake huku jf?

Hapana,kwani amejaribu kutafuta sehemu nyingi na amekosa,
 
Back
Top Bottom