MWACHIBILA
Member
- Feb 19, 2013
- 48
- 8
ombi kwenu ,natafuta nafsi ya kufanya kazi kama secretary, iwe ofisi ya serikali au binafsi ,ingewezekana iwe sehemu yoyote katika mikoa ya kusini mwa tanzania Lakni mkoa wowote itakapopatikana nitafanya.naomba taarifa kama utasikia sehemu wanahitaji secretary.JINSIA NI FEMALE .ASANTE