Msaada: Natafuta kazi ya Fani ya Uhazili

dvedastuss

Member
Joined
Apr 3, 2014
Posts
35
Reaction score
11
Elimu kidato cha nne,fani secretarial and computer, level two, uzoefu miaka miwili kama PS na Cashier miaka miwili Vodacom branch ya wilayani, kwa sasa niko Dar es Salaam nimejaribu kutuma post sehemu mbali mbali bila mafanikio naomba wana Jf mnisaidie kwani najua kazi bila refa ni ngumu hata kwa kampuni binafsi.kwa mawasiliano waweza piga no. 0759922602
 
Mkuu sijui kama tutapatana salary ila mi namtafuta mwalimu wa masoma hayo...Secretarial Duties, Office Practice na Typing. ..nipo Mtwara
 
Asante mkuu, kuhusu salary tungepata tu ila kwa huko ni ngumu kuja kwani nina majukumu yanayonizui kwa sasa kufanyia kazi mikoa ya mbali labda ungekuwa morogoro ni nafuu kwangu ila usijali utapata tu mi nasema asante sana tena sana kwa msaada.
 
Ok bro haina shida....pamoja
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom