babo
Senior Member
- Apr 9, 2014
- 194
- 23
Wadau wa jf naombeni mnijuz kwa ambae anafaham vizur hiyo kampun ya ujenz iliyop uwanja wa wa ndege mwalimu nyerere,kazi zake rasim zinaanza lini,make tumetuma maombi yetu tangu mwezi wa kwanza mpaka leo lakin sijapat hata kuona watu wakiitwa kufanya kaz,au ndo changa la macho