PistolGang
JF-Expert Member
- Jan 16, 2013
- 392
- 44
Salamu kwa wote.
Naomba kujua wadau, CV iliyo nzuri na yenye mvuto inatakiwa iwe ukurasa zisizopungua na kuzidi ngapi?
Pili naomba kujua, upande wa email application for job. Ni njia ipi nzuri ya kuattach vyeti, iwapo unavyeti zaidi ya vitano na CV yako.
Naomba niwasilishe na ninahitaji sana mawazo yenu. Asante