Nawezaje kupata kazi ya udereva Azam

Nawezaje kupata kazi ya udereva Azam

Hasadi

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2014
Posts
258
Reaction score
52
Wadau naomba kujulishwa jinsi ya kupata kazi ya udereva kwenye kampuni ya azam gruop napenda sana kuendesha yale magari ya kusambaza mizigo ya azam.
 
Jipe moyo utapata,we peleka maombi yako pale,najua watakwambia hapo hapo,kama kuna upunguf wa madreva utapat ndg
 
kwa nini azam tu? kwa hiyo kama kuna mtu ana magari makubwa ya kusambaza mizigo na analipa vizuri h

asiwasiliane na wewe?
 
Azam madereva wanalipwa laki moja kwa mwezi...hebu tafuta sehemu ingine
Baadhi ya hawa matajiri wetu wanyonyaji sana. Kuna mwaka nilipata kazi kiwanda cha Magunia Morogoro, mmiliki wake ni Mohamed Enterprises mshahara wakaniambia ni TSH laki 1.5 kwa mwezi af eneo la kazi ni kwenye mashamba ya mkonge. Nilichoka kabisa ukizingatia kipindi hicho ndio nilikuwa nimetoka chuo na expectations kibao. Sikutaka hata kuangaika ku bargain mshahara nao, nikajiondoka zangu.
 
Hahaaaaaa! Ungeenda tu, kuna hela kule OFF THE BALANCE SHEET NA IS lakini. Watu wanawaibiaje sasa? Balaaa!
 
Azam madereva wanalipwa laki moja kwa mwezi...hebu tafuta sehemu ingine
9
Laki ndo halali lakini mazabe mazabe hawqkosi M kwa mwezi. Kila kinachoibiwa wale ndo wanapitisha getini na wana mgao.
 
Hahaaaaaa! Ungeenda tu, kuna hela kule OFF THE BALANCE SHEET NA IS lakini. Watu wanawaibiaje sasa? Balaaa!

Kuna kitu nimejifunza hizi kazi za kushinda ofisini nyingi hazina dili kabisa, na issue sio kuangalia mshahara, ila ni kuangalia kama kazi inauhakika ya kuingiza pesa bila hata ya kumsumbua mhasibu mwisho wa mwezi mishahara ikichelewa kusoma. Tatizo hasa ni kujua kazi zipi zina michongo ya pesa kabla haujaingia.
 
sawa kabisa ukilinganisha kazi zingine hazina marupurupu,tunaishia kunyonga tai tu na kusubiri mwezi hadi mwezi.
 
Wakuu kwa madereva wengi wajanja pale Azam huo mshahara hata hawaugusi, kuna vidili vya kufa mtu kama alivyosema mdau mmoja hapa,viloba vya unga , maji na vyovyote vinavyoibika kirahisi jamaa huwa wanavipiga inavyotakiwa au yale yale magari kufanyia dili zingine ukiwa umeshusha mzigo si jambo la ajabu.......so tumuombee mdau tu akapige mzigo tena ukizingatia anapenda kuendesha magari ya AZAM.
 
Kama ni mpemba we nenda mkuu utapewa kazi kama mtu wa bara, wenyewe wanasema "sharti ukaoge na mzee kule masaki"
 
kwanini azam mbona kampuni ziko nyingi, una class gani?
 
nenda ofisi ya azam tazara kamuone omary yeye ndio anausika na kupanga madereva
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom