Uhamiaji Wametoa Nafasi Za Kazi

Uhamiaji Wametoa Nafasi Za Kazi

mgonjwa

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2013
Posts
514
Reaction score
223
Idara ya uhamiaji imetangaza nafasi kibao za kazi

Afisi uhamiaji nafasi 70

Koplo wa uhamiaji nafasi 100

Konstebo wa uhamiaji nafasi 100

Deadline 27

Source: gazeti la mwananchi la leo, mtanzania na website ya wizara ya mambo ya ndani

Kazi ni kwenu

MIMI MGONJWA SIWEZI DEPO

VALENTINE DAY NJEMA
 
KAZI IPO HAPO KUPATA MIKAZI KWENYE ILE IDARA UTATA


http://www.perfectapp.biz/?refid=5471218280
 
Basi tulia walioziona wafanye yao we subiri link kaka
 
Na wao wana chuo cha maofisa tu ma constable na nco kama kawa depo na majeshi mengine!!
 
Asante mgonjwa kwa habari nzuri.ila bora ujiite mgonja Neema ya pesa hata ya wizi ikufuate.
 
aliyeona gazeti la mwananchi leo atupe ushuhuda!!! mie niko mbali na mji
 
Hii idara wanabana sana, nishaomba mara mbili wananipiga chini2, gudluck guys mtakaoomba, Mungu awatangulie
 
Ni kweli wadau nafasi ni nyingi gazeti la mwananchi la leo tarehe 14/02/2014 ushuhuda ndio huo!
 
Back
Top Bottom