Msaada: Morania Limited

Msaada: Morania Limited

jepro

Member
Joined
Oct 28, 2011
Posts
90
Reaction score
6
Jamani waungwana yeyote anayeifahamu hii kampuni plz
 
mie pia nlitaka kuuliza the same. Maana wamentumia text ya kuitwa kwenye interview
 
Vipi hiyo inteview ni kesho ww uliomba kama nani??? Kichuna
 
Last edited by a moderator:
Vipi hiyo inteview ni kesho ww uliomba kama nani??? Kichuna

wamenambia saa 4 asubuhi kesho. Sikumbuki hata kama nliomba maana nlituma sehem nyingi ila according to their text wameniita post ya IT
 
Last edited by a moderator:
Ok kesho tutaonana hapo nimeku pm Kichina
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom