Nataka niombe internship UNHCR

Nataka niombe internship UNHCR

Khantwe

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
62,101
Reaction score
127,853
Wakuu habari za mchana huu....
Mwenzenu nataka niombe internship UNHCR..mwenye uzoefu au anayelijua hili shirika kwa sehemu anisaidie kunieleza mambo machache anayoyajua...
 
unataka kuomba kitengo gani!!!!!!!!!!!
 
unataka kuomba kitengo gani!!!!!!!!!!!

Kwenye hii form yao hawajasema wanataka watu wa aina gani ila kuna sehemu ya kujaza kozi uliyosoma na una-tick kitengo unachotaka...mimi nimetiki community &social service,hr,research na project management....nimesoma sociology.
 
Kwenye hii form yao
hawajasema wanataka watu wa aina gani ila kuna sehemu ya kujaza kozi
uliyosoma na una-tick kitengo unachotaka...mimi nimetiki community
&social service,hr,research na project management....nimesoma
sociology.

tuma tu....hata mi nimepiga sociology......bt kwenye terms zao wameandika unpaid internship ila kwa kukuza career yako sio mbaya
 
Unpaid sawa,but wanatoa motiva kama msosi,monthly traveling allowance?? Maana utakua unaniga tie,ofisi nzuri zen unaenda kushinda njaa ofisini? Au unapiga vizinga vya nauli wadau wakitaa!!
 
Kweli mkuu hapo pagumu....at least wawe wanatoa hata ya sabuni
 
Tanzania na kenya....nimebugi eeh??

mkuu usiwe na wasi, nimeuliza tu kwa sababu najua lazima kutakuwa na hizo options..

all the best lakini mkuu.. hakikisha simu yako inakuwa online muda wote na unakuwa karibu nayo,

pia tembelea e-mail yako mara kwa mara.

hizo ndizo communication channels utakazoitiwa incase ukifanikiwa.

Goodnight.
 
mi nimeomba tanzania na rwanda
 
mkuu usiwe na wasi, nimeuliza tu kwa sababu najua lazima kutakuwa na hizo options..

all the best lakini mkuu.. hakikisha simu yako inakuwa online muda wote na unakuwa karibu nayo,

pia tembelea e-mail yako mara kwa mara.

hizo ndizo communication channels utakazoitiwa incase ukifanikiwa.

Goodnight.

Asante mkuu na kwako pia..
 
tuma tu....hata mi nimepiga sociology......bt kwenye terms zao wameandika unpaid internship ila kwa kukuza career yako sio mbaya

UN na agencies zake zote,,ukielezwa unpaid,,ina maana malipo yako hayatakuwa statutory ila kuna posho na allowances ndefu. Safari,malazi na upuuzi mwingine mwingi. Nimefanya nao kazi miezi 8 UNHCR Mpanda.
 
Mkuu na wewe ulikuwa unajitolea au...??
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom