Jukwaa la Ajira na Tenda

Fuatilia nafasi mbalimbali za kazi zilizotumwa na wanachama wetu. Share details, NO Hotlinking please!

On JF:

Wakuu habari! Naombeni msaada wenu kwa mwenye taarifa za mshahara wa kuanzia kwa assistant Lecturer, kuna nafasi naifukuzia UDOM lakini ninashauku ya kujua mshahara kabla sijaingieko, nina masters...
3 Reactions
48 Replies
30K Views
Nimepangiwa interview ya Zimamoto Temeke, hivi wapo sehemu gani hawa jamaa?
3 Reactions
13 Replies
1K Views
Habari zenu naomba msaada kwa yeyote aliyewahi kufanya kazi kama bank sales anisaidie kunipa muongozo wa majukumu ya direct sales kwa bank ni yapi pia ningependa kujua changamoto pamoja na...
1 Reactions
26 Replies
2K Views
Salaam! Nina vitendea kazi kadhaa (vitazame hapa chini) ambavyo nilinunua kwa ajili ya biashara. Lakini kutokana na kutokuwa na muda wa kuendesha biashara, vitendea kazi hivyo havitumiki kama...
5 Reactions
14 Replies
1K Views
Wakuu nisiongee Sana naomba mnisaidie hapa maana Kwa mm kupata KAZI imeshindkana basi msaidieni shemeji yenu nipo chini ya miguu yenu wakuu Uzi tayari
4 Reactions
40 Replies
2K Views
Jamani ndugu zangu, wenye makampuni, viwanda au wenye ndugu, marafiki na wadau. Naomba kazi hata ya kujitolea nipate angalau experience ya kazi.. Nipo tayari kujitolea jamani, maana nikienda...
13 Reactions
49 Replies
3K Views
Habari zenu wakuu, Hope ni wazima otherwise Allah awafanyie wepesi. Lengo la uzi huu ni kuomba kazi, kibarua au shughuli yoyote halali itayoniingizia kipato. Nina umri wa miaka 27, nina elimu...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Heri ya mwaka mpya wadau Mimi ni Mwalimu wa Kiswahili kwa Wageni na nimethibitishwa na Baraza la Kiswahili Tanzania (BAKITA) mwaka 2019. Nina uzoefu wa miaka miaka 7 na nimefundisha wageni katika...
6 Reactions
5 Replies
1K Views
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi inatarajia kuendesha uchaguzi wa Rais na wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na madiwani kwa Tanzania Bara, mwaka 2025. Katika kutekeleza jukumu hilo, Tume...
4 Reactions
30 Replies
2K Views
Naomba kuuliza 1.Wanaposema temporarily employment wanamaanisha ni kazi za mkataba wa muda gani? Na je baada ya mkataba kuisha kuna possibility ya kuongezewa mkataba au ndo shughuli yako inakua...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
POSITION TITTLE: TOPOGRAPHICAL SURVEYOR (1 POST) The Topographical Surveyor shall be fully responsible for conducting and supervising the survey team. He/She will be responsible for planning of...
0 Reactions
2 Replies
875 Views
Habari!!! Rejea kicha Cha mada hapo juu. Kwa majina naitwa JOSHUA JAMES. Mimi ni kijana mkazi wa Dar es salaam, Mimi ni dereva Wamda mrefu katika uendeshaji na usafirishaji wa gari ndogo. Nipo...
0 Reactions
0 Replies
643 Views
anatafutwa kijana wa kufanya kazi ya stationery ARUSHA. Awe na Elimu kuanzia kidato cha nne,ujuzi wa computer, graphics. tuma cv yako kwa no 0782396666
2 Reactions
1 Replies
287 Views
Habari za saa hizi Wanajamii Forums, Kwa mtu anayejua, Mwenyekiti wa Mtaa na Diwani wanalipwa mshahara kiasi gani, na wakistaafu wanalipwa shilingi ngapi?
2 Reactions
17 Replies
17K Views
Nimetafuta kazi mwenyewe kwa muda mrefu sana naona maji yamezidi Unga Naja kwenu JF Experts mnisaidie kutafuta ajira hapa na Pale katika field za Logistics and Transport Napatikana Jijini...
3 Reactions
14 Replies
793 Views
mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 24,mkazi wa dar es salaam.Nina uhitaji wa kazi yoyote ambayo inaweza kuniingizia kipato.Kazi iwe official au kibarua naweza kukidhi vigezo vyake sababu nina...
2 Reactions
5 Replies
398 Views
Anahitajika kijana mkazi wa Babati Qualification.. 1. Degree/Diploma in business or any related field 2. Awe mkazi wa Babati 3. Awe na uwezo wakusafiri kupita katika wilaya zilizopo Mkoa wa...
4 Reactions
6 Replies
591 Views
Tunakusadia kufanya maombi ya kazi Huduma zetu 👉 kukuandalia Cv yenye muonekano wa kitaifa na kimataifa. 👉 Kukujulisha taarfa mbali mbali za nafasi za kazi kulingana na taaluma yako...
4 Reactions
15 Replies
899 Views
Care Giver (Mlezi) ■Mimi ni nani? Mimi ni mtoa huduma ya uangalizi wa karibu kwa wagonjwa au watu wasiojiweza na wanaohitaji uangalizi wa karibu katika kufanya shughuli zao za kila siku...
10 Reactions
27 Replies
1K Views
Majeshi ya ulinzi na usalama hutangaza nafasi za kazi kama taasisi nyingine. Mathalani Jeshi la polisi, JWTZ, Kikosi cha zimamoto, Uhamiaji, etc wamekua na kawaida ya kutangaza nafasi za mafunzo...
6 Reactions
87 Replies
14K Views
Back
Top Bottom