Napenda kuwa photogenic sijui nianzie wapi?

Napenda kuwa photogenic sijui nianzie wapi?

mzee wa kismati

JF-Expert Member
Joined
Aug 25, 2013
Posts
2,291
Reaction score
799
Ndoto zangu tangu mdogo nikuwa photogenic superstar naipenda sana kazi hii... Naomba kama kuna uelewa kuhusu wapi ntaweza kutimiza ndoto zangu kimuonekano nipo vizuri please contact me via Jalexanderpoyo@yahoo.com
 
Kuna kazi ya photogenic? Basi mi mshamba.

wewe ni mmoja wa wanafunzi ambao wanasoma lakinin hawaelewi na wala hawawezi kukitumia kile walichokisoma. Maana ya photogenic unaijua, ila kutumia neno photogenetic haujui. Soma uelewe, kisha urudi hapa.

MCHUNGUZI HURU
 
Photogenic ni yule mwenye mvuto kimuonekano ktk picha.....ss sijui ww watakaje...?

Kwa kulitaka hilo anzia kwa mkurugenzi wa lino entertainment aka muanzilishi wa mashindano ya ulimbwende bongo ata ku "photogenia" vzur tu
 
[/QUOTE

Umetuchanganya ehh! Kama sio mlengwa vile.
 
Photogenic ni yule mwenye mvuto kimuonekano ktk picha.....ss sijui ww watakaje...?

Kwa kulitaka hilo anzia kwa mkurugenzi wa lino entertainment aka muanzilishi wa mashindano ya ulimbwende bongo ata ku "photogenia" vzur tu

poa asante bwana kaka
 
Duh,mie nafikiria alikuwa na maana ya muuza sura.
Hapo inabidi amuone mzee Lundega au Uncle
Lakini ajiandae tu
 
Kilombero tumetanagaza kazi ya kuvuna miwa kama itakuwa ngumu utaparamiwa...
ahsante kijana.
481254_366591573396304_460398524_n.jpg
 
Dah! Nenda chuo cha mifugo liti morogoro wanakozi za photogenic,photostatic with phototropism na pia wana shahada ya photocopying.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom