hekimanyingi
JF-Expert Member
- Jul 12, 2013
- 679
- 573
Mimi na rafiki yangu tumeitwa kwenye usahili wa kuandika nafasi 3 tofauti na zote zinafanyika muda moja tarehe 17 Julai. Kwa mwenye kufahamu kama nitaruhusiwa kuingia kwenye zote kwa utaratibu maalum unaweza kunijuza??
Ahsante.
Ahsante.