Nafasi 300 za mahakimu zatangazwa

Nafasi 300 za mahakimu zatangazwa

Haya ndugu zangu wanasheria huo uwanja ni wenu walau tupungue idad mtaani all the best.
 
zamani hii fani ilikuwa inajiuza lakini siku .....majanga.
 
naomba unisaidie kupata sanduku la posta na useful details zinazopaswa kuambatanishwa.Asante
 
tunaomba details zote zinazohitajika kama vpi tusaidie hilo tangazo
 
mkuu tunaomba utusaisie mana wengine tuko vijijini hatuwezi kupata habari kamili
 
IMG-20140703-WA007.jpg
 
All the best my learned brothers and sisters,humbly welcome to this forum shopping of practice as a noble proffession
 
Fursa ya rushwa wadau japo kuna uzi humu unadai tangu Nov 2013 mahakimu hawajapata salaries
 
Acha wivu wa kike ww..!

Acha majibu ya kike jamaa kasema ukweli kwa sasa ni majanga,kwa mfano Sauti kila mwaka wanagraduate 400,UDSM 100,udom 100,stjohn,150,tumain 160,kwa ujumla vyuo ni vingi bado wa chet,diploma na sasa kila mtu akiferi 4m 4 au 6 anasoma law ,kwa ujumla hii itakuwa ni janga kubwa sana coz muajiri mkubwa ni serikari au ujiari nayo ni ngumu ila natabiri kutakuwa na NGO za kutoa msaada wa sheria na Uwakili kama Maduka ya wachaga baada ya miaka 8i ijayo
 
Acha uongo na wewe.... nani kakwambia sauti KILA MWAKA wanagraduate 400? Mimi nimegraduate SAUT na mwaka wetu tumegraduate 263.
 
Back
Top Bottom