→panda magari ya posta shuka station,→ chukua bajaj had ferry, →panda pantoni, ukiwa kwny pantoni unaelekea kigamboni kushoto upande wa kigamboni utakiona chuo THE MWALIMU NYERERE MEMORIAL ACADEMY, ukishuka pale unafata barabara ya kulia hadi stand ya kigamboni, kabla hujafika standi upande wa kulia utaona get la chuo
unaweza hata usipande pantoni, ukifika feri omba mtu akuonyeshe shot kati ya kupita kw miguu.
Hivi daraja liko tayari nn mkuu?! Au ndo unapita kibishi tu huku jamaa wanachomelea!
naonaga wa2 pale wanaogelea fasta tu unamuona upande wa pili .........
"kama huna hela vuka kw kuogelea" mh. Maghufuli