Mwenye taarifa ya kupangiwa kazi na tume ya utumishi wa mahakama

TONGINDI

Senior Member
Nov 23, 2011
174
32
Tarehe 30/05 mwaka huu tulifanya interview chini ya tume ya utumishi wa mahakama nafasi ya hakimu mkazi kwny kumbi za national stadium.

Mpaka leo bado kimya, mwenye updates atujuze because naona wamwmwaga zingine 300.
 
halafu nyie interview yenu ilikuwa ina matatizo gani maana walianza kupigia simu wale wenye supp na kuuliza kama wameshamaliza supp zao
 
Back
Top Bottom