Natafuta kazi

Natafuta kazi

Lio 002

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2014
Posts
436
Reaction score
68
Mimi ni kijana nimemaliza diploma in marketing management nina tafuta kazi ya marketing nikipata ntafurahi saana wakuu maisha ya kitaa magumu asikwambie mtu.

Naombeni mnisaidie wakuu asanteni.
 
Umemaliza mwaka gani??unaexperience ya muda gani katika marketing??
 
Umemaliza mwaka gani??unaexperience ya muda gani katika marketing??

Nimemaliza mwaka huu mkuu ila before nilishawahi fanya kaz kwa muda kama mwaka mmoja hivi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom