Wana jamii kuna ukweli kwamba mahakama imetoa nafasi za kazi za mahakimu wa mahakama ya mwanzo? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Wana jamii kuna ukweli kwamba mahakama imetoa nafasi za kazi za mahakimu wa mahakama ya mwanzo?

Discussion in 'Nafasi za Kazi na Tenda' started by TONGINDI, Dec 4, 2011.

 1. T

  TONGINDI Senior Member

  #1
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 176
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  :alien:
   
 2. neyl

  neyl Senior Member

  #2
  Dec 4, 2011
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  dah! itakuwa afadhali ikiwa kwel wametoa maana kitaa pabaya
   
 3. mwanamwana

  mwanamwana JF-Expert Member

  #3
  Dec 4, 2011
  Joined: Aug 1, 2011
  Messages: 453
  Likes Received: 744
  Trophy Points: 180
  Duh..! bora watoe hizo kazi maana huko hakuna nepotism sana,ila mama Kombani alisema bajeti bado haijapitishwa ya kuajili PCMs
   
 4. kimpango

  kimpango JF-Expert Member

  #4
  Dec 5, 2011
  Joined: Apr 24, 2011
  Messages: 515
  Likes Received: 383
  Trophy Points: 80
  Da zije tu maana nimebana sehemu nafanya kama muuguzi msaidizi naka llb changu
   
 5. Perry

  Perry JF-Expert Member

  #5
  Dec 5, 2011
  Joined: Feb 24, 2011
  Messages: 10,029
  Likes Received: 868
  Trophy Points: 280
  Llb na uuguz wap na wap mkuu?
   
 6. D

  Dominnick Member

  #6
  Dec 6, 2011
  Joined: Jan 16, 2011
  Messages: 6
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ni vema but usije ukapiga mgonjwa sindano, unaweza mharibu!
   
 7. K

  Kubingwa JF-Expert Member

  #7
  Dec 6, 2011
  Joined: Apr 23, 2010
  Messages: 502
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Mtoto wa mjomba
   
 8. C

  Chagga King JF-Expert Member

  #8
  Jul 12, 2014
  Joined: Jul 6, 2011
  Messages: 1,740
  Likes Received: 603
  Trophy Points: 280
  Duu hawa ndowalewale wamwimbili upelesheni ya paja anaifanya kichwani:A S-eek:
   
 9. E

  Emmahu Member

  #9
  Jul 12, 2014
  Joined: Mar 14, 2014
  Messages: 65
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 15
  LLB na uuguzi, duh!!
   
 10. d

  damelove Member

  #10
  Jul 12, 2014
  Joined: Feb 15, 2014
  Messages: 25
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ushauriiii
  hakimu na afisa wa PCCB ni kazi nzuri kuna mtu hajafanya maamuzi aende wap
   
 11. M

  Man tindwa JF-Expert Member

  #11
  Jul 12, 2014
  Joined: Aug 3, 2013
  Messages: 305
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  Ebwana unatutisha llb na uuguzi msaidizi wap na wapi kaka
   
 12. missa

  missa JF-Expert Member

  #12
  Jul 13, 2014
  Joined: May 24, 2012
  Messages: 364
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Jamani jaribuni kuchunguza vizuri mbona kama deadline yake ilikuwa tarehe 11,july,2014?au mi ndo sikusoma vizuri?tena ziliambatana na nafasi za CMA,Nafasi za Mediator na Arbitrator.Jaribuni kufuatilia wadau ili ifahamike.
   
Loading...