Anahitajika muhasibu mwenye ordinary diploma

Anahitajika muhasibu mwenye ordinary diploma

Replies

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2014
Posts
1,497
Reaction score
453
ANAITAJIKA muhasibu mwenye kujua tally accounting na mchapa kazi,tuma CV YAKO KWA PM
Please zingatia maelekezo uliyopewa kwenye application hii,Asante usitume PM Kama wewe umeova qualify

Best of luck marafiki
 
tutume wapi sasa? mbona kama unakimbizwa

Kwa akil hiz mkuu tayar hautokuwa shortlisted....
Mtu kasema tumen PM we waulza tena,soma mada uelewe mkuu wa kaz,nway i was kiddn arround we tuma nakutakia kila la kher zingatia umakini ktk mambo ako

Sent from my iPhone using JamiiForums.🔩🔨
 
Thanks Kwa clarification Kiboko
 
mwadunda samahani nilidhani kwamba ili uitwe mwasibu ni lazima uwe na cpa au utambulike na bodi nyingine za kihasibu kama cima etc.
 
mwadunda samahani nilidhani
kwamba ili uitwe mwasibu ni lazima uwe na cpa au utambulike na bodi
nyingine za kihasibu kama cima etc.

ndoto ni tamu kama muataji anajitambua na kwa kua ww umeota ukijitambua na hakika ume enjoy sana
 
mwadunda samahani nilidhani kwamba ili uitwe mwasibu ni lazima uwe na cpa au utambulike na bodi nyingine za kihasibu kama cima etc.

Tokeapo kuwa mhasibu lazima uwe na cpa, sema kwa kiswahili ndio huwa wana generalize tu ila kuna majina tofauti kulingana na elimu ya mhusika mfano unapokuwa na elimu ya uhasibu ngazi ya diploma unaitwa account assistant, mwenye advance diploma/bachelor anaitwa assistant accountant na chief accountant ni lazima awe na Cpa.Ila huwa wanapenda tu kuita mhasibu.ila huo ndio utaratibu unaotakiwa kuwa kama title ya mtu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom